Chumba cha pili wanagombana mtu na
mkewe. Kisha unasikia;
MUME: Shenzi wewe (puu) , huna
akili(puu,puu,puu) ni wazi mwanamke anasindiliwa ngumi.
MKE: Uuuuuuuuuuuuh mume wangu
unaniua
MUME: Kufa(puu), kufa shenzi we
(puu)
MKE: Baba nisamehe kumbukua mimi
mjamzito, muogope Mungu
MUME: Kwanza mimba si yangu (puu),
Malaya mkubwa (puu). Ghafla kunatokea kimyaaaaaaa, mke halii wala mume haongei
na ngumi zimesimama.
MUME: We Malaya ntakuua, nasema
ntakuua………(kimya)
MUME: Nakwambia niache……….(kimya)
MUME: Aise ntakufanya kitu mbaya
sana niachie (kimya)
MUME: (Kwa upole) Unajua
unaniumiza mwenzio (kimya)
MUME: Aise niache bwana (kimya)
MUME: Please niache, naomba
uniache…
SWALI UNADHANI KIMEMTOKEA NINI
JAMAA MPAKA KAWA MPOLE?
jamaa kashikwa pabaya
ReplyDelete