Jamaa alikaa kiti mbele ya mlevi mmoja aliyekuwa anaongea maneno mengi safari nzima. Ghafla gari lilipanda tuta, mlevi ile kushtuka akatapika akamtapikia jamaa aliye kaa mbele yake;
MLEVI: Aise una bahati sana nimekula pilau leo. Nimekutapikia yote.
MLEVI: Aise una bahati sana nimekula pilau leo. Nimekutapikia yote.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE