Jamaa
karudi ghafla nyumbani si akasikia sauti za ajabu toka chumbani kwake, akapiga
ukelele na kuvunja mlango akamkuta mkewe akitetemeka;
Jamaa: We vipi?
Mke: Presha imepanda mume wangu, jamaa akakimbia sebuleni ili apige simu ambulensi ije
wakati anahangaika kutafuta namba, mwanae akaja akamwabia,'Baba anko yuko uchi
kwenye kabati chumbani kwenu', jamaa akatupa simu na kurudi chumbani alipofungua
mlango wa kabati akamkuta mdogo wake kabatini bila nguo nae anatetemeka ,
Jamaa: Na wewe vipi unazubaazubaa bila nguo unamtisha mtoto wakati shemeji yako ameshikwa na
presha. Vaa upesi kaite ambulance
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE