Jamaa kaingia bar akiwa kishalewa. Akaenda kaunta akaagiza
kiroba, ghafla akamuona mdada mmoja kakaa peke yake pembeni;
MLEVI: Oyaa kaunta hebu mpelekee kinywaji yule mdada pale nataka kuongea nae
KAUNTA: Hakufai huyo, demu huyo msagaji
MLEVI: Wewe mpe kinywaji mi namuibukia, tena hawa wasagaji ndio
niliokuwa nawatafuta........mlevi
akamsogelea yule mdada
MLEVI:
Mambo sister,
MDADA: Poa
MLEVI: Mi naomba tuongee biashara
MDADA: Ongea
MLEVI: Mimi nina gunia zangu kumi
za mahindi, nasikia wewe ni msagaji, mashine yako ya kusagishia iko wapi nilete
mahindi yangu? MLEVI BADO YUKO
HOSPITALI WIKI YA PILI SASA
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE