5 July 2012

unajua kwanini wanavaaga vitambaa usoni?

Alaaaaaa kumbeeee, nimegundua leo kwanini madokta wakiwa wanakufanyia operesheni huvaa vitambaa usoni. Wanajificha kusudi wakikosea huwezi kumtambua aliyekufanyia operesheni. Sikubali ikifika zamu yangu italazimika tuwe tunaangaliana uso kwa uso, mtu akilikorofisha ntajua nani wa kufwata

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE