Jamaa wawili walikuwa wameajiriwa kwa Bosi
mmoja, baada ya muda wakagundua kuwa Bosi wao alikuwa na tabia ya kuondoka saa
7 mchana na harudi tena mpaka kesho yake. Siku moja wakakubaliana nao wafunge
kazi mapema waende zao nyumbani. Moja wao alifika kwake akapata muda mzuri wa
kupumzika akaona raha akaazimia kuwa kesho yake lazima atoroke tena. Huyu
mwingine kufika kwake kasikia sauti za ajabu toka chumbani kwake, alipochungulia
ndani akamkuta bosi wake na mkewe, akafunga mlango haraka na kukimbilia kazini.
Kesho yake mwenzie akamwambia tutoroke tena, jamaa akagoma akasema,' Weeee sitaki
tena huu mchezo, jana kidogo nikamatwe na Bosi'
hahahahaaa babu jinga kweli huyo jamaa lol
ReplyDeletedaha jamaa alipataje kazi
ReplyDelete