Huyu mpenzi sasa nimeamua tuachane maana kama ujinga hapa
ndio makao makuu, siku moja, aliniiuliza ‘ Hivi naweza kumuua samaki kwa
kumzamisha kwenye maji?’ sikumjibu maana niliona heri ninyamaze, jibu langu linaweza kuonekana tusi. Leo kanipigia
simu mapema asubuhi, eti ananiuliza,'Samahani Baby namba yako ya simu ngapi? Nikumbushe mie nimeisahau'
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE