Maiti 3 zilipelekwa mochwari, cha kushangaza ni kuwa maiti wote walikufa wanacheka, kabla ya kuandika hati ya kifo daktari akababaki anashangaa;
DAKTARI: Mbona hawa wote wanaonekana wamekufa wanacheka?
MTU WA MOCHWARI: Huyu wa kwanza alikutwa na mauti akiwa kitandani na nyumba ndogo yake, huyu wa pili alikuwa mlevi sana, sasa alishinda bahati nasibu akanunua pombe nyingi kafa kwa ulevi
DAKTARI: Na huyu mwingine?
MTU WA MOCHWARI: Huyu ujinga tu umemponza, kifo chake kimetokana na kupigwa na radi, eti kacheka alidhani anapigwa picha

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE