Baunsa mmoja aliyekuwa kakaa kaunta ya baa fulani akinyanyasa watu na misuli yake, aliondoka kwa furaha kwenda chooni, lakini akarudi amekasirika jasho linamtoka;
BAUNSA: Baa hii washenzi wote
KAUNTA: Kwani vipi mzee? Tumekukosea nini?
BAUNSA: Nimeenda chooni jambazi mmoja kaja na kuniwekea pisto kichwani akadai nikikataa asinibake ananilipua na risasi ya kichwa
KAUNTA: He pole wahuni hao, sasa imekuwaje?
BAUNSA: Imekuwaje nini? Maswali gani hayo? Kwani umesikia mlio wa bunduki. Washenzi wote baa hii na sirudi tena

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE