Kuna semina hapa imelazimika kusimama ili kutafuta peni nyingine za kuandikia, zilizokuwepo zimeandikwa 'Made in China' hivyo wajumbe wamekubaliana kwa kuwa hawajui Kichina itakuwa vigumu kuandikia peni hizi. Mwandishi wetu aliyekuwepo katika eneo hilo amesema mada hiyo ilianzishwa na mjumbe mmoja aliyetaka kujua kama kuna mtu anafaahamu Kichina, ili aweze kumfundisha , ili kimsaidie katika kuandikia peni hizo za Kichina.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE