2 October 2012

SIJAJUA KAMA MI MJOMBA AU SHANGAZI

BWEGE: Aise nimepata barua kutoka kwa dada yangu amepata mtoto
RAFIKI: Kwa hiyo sasa utaitwa mjomba?
BWEGE: Sijajua bado kama ni mtoto wa kike au wa kiume, maana hapo ndio ntajua kama mimi mjomba au shangazi

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE