3 October 2012

I AM INWESTIGATING VY IS IT SO????


Niko maeneo ya Upanga karibu huku kwa Sajula Lukindo, nafanya utafiti kwanini ndugu zangu Wahindi  ukiandika VIATU wanasoma WIATU, ukiandika WATOTO wanasoma VATOTO

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE