Utacheka sana ujue
kiswahili jokes blog
3 October 2012
MAJIBU YAO
MWALIMU
: Haya 7 mara 6 ni ngapi?
MWANAFUNZI 1
: 42
MWALIMU
:Safi sana. Je, 6 mara 7?
MWANAFUNZI 2
: Kwa kuwa ni kinyume itakuwa 24
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE