1 October 2012

MBONA BABA ANA NYWELE NYINGI?

DOGO: Mama mbona baba ana kipara?
MAMA: Baba yako ana mambo mengi kichwani, anawaza tutakula nini, tutalala vipi, ada ya shule, kazi na mambo mengi ya kutusaidia
DOGO: Sasa mbona wewe una nywele nyingi

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE