CHINGA: Gazeti gazeti gazeti, soma gazeti kuna watu 50 wametapeliwa, watu 50 wametapeliwa
MTZ: Nipe gazeti moja....(baada ya kuangalia gazeti lote) we mjinga mbona hakuna hadithi ya watu 50 kutapeliwa?
CHINGA: Gazeti gazeti gazeti, soma gazeti kuna watu 51 wametapeliwa, watu 51 wametapeliwa

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE