Mkuu moja, wale wa karibu na juu kabisa, alikuwa na uhusiano wa
kikomedy komedy na sekstari wake unaonaee, kiasi cha kwamba mdada akawa
mwisho wa mwezi anenda wa keshia na kuchukua mshahara wa Mkuu kwa niaba
yake teh teh teh, sasa basi si siku hiyo Mkuu akawa kule kwenye mji
wenye mnada wa nyama siku za wikiendi, mkewe akaugua, mzee akamwambia
kachuk
ue mshahara wangu kwa
keshiii...keshia unaona, kumbe by then wakati huo si yule sekstari
ameshachukua ile salari ya mzee yote. Sasa mke alipofika kwa keshia
kuomba mshahara, keshia macho yakamtoka kama mjusi aliyebanwa na mlango ,
even then akatumia akili ya ziada akarash kwanza kwa seksetari,
kumuuliza kuhusu ule mshahara, seksetari akajibu tena kwa nyodo,
mpigieni bosi wenu mwambie mie nilishachukua huo mshahara habari ndio
hiyo, keshia akarash kwa thief akauntant, sori chief akauntant, akampa
ishu nzima, dah thief eh chief akauntant akamwambia keshia toa hiyo hela
popote maza asishtuke aondoke, hayo mengine tutasov. Mama akaondoka.
Alipoondoka maza kikao cha ofisi kikafanyika chapchap, sekstari akapigwa
transfa ya juu juu kwenda ofisi nyingineeee, chini ya bosi mwingineee,
na akaambiwa nakatwa ule mshahara aliochukua kwa niaba ya mubosi
unaonaeeeee
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE