5 October 2012

NIMEKUFUMANIA TENA NINA SHAHIDI

Mke alipanga na mpenzi wake kwenda guest house fulani kuvunja amri ya sita. Walipofika reception wakati wanasubiri chumba kitayarishwe, mume wa yule mwanamke akatoka na mpenzi wake katika chumba kimojawapo;
MKE: Haya sasa leo nimekukamata live. Na ninashukuru nilikuja na huyu bwana ili niwe na shahidi, maana ningekuona peke yangu wewe ungekataa katakata.

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE