Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho, bira ya wewe mimi siwezi
kuishi, ni sawa na kukosa bunduki eneo ra tukio,nakuheshimu kama ninavyoheshimu
rindo, wewe ndio IGP wa moyo wangu. Mbona upo kimya, nina RB ya penzi rako,
nijibu nifungue jarada rako ndani ya moyo wangu. Usifanye moyo wangu ukaenda
mbio kama difenda mpya,. Nakuhakikishia ntakuwekea usarama kama msafara wa Rais,
usiniweke roho juu kama maandamano ya CHADEMA nijibu poti.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE