Mwisho wa mwaka ndio unaingia ni vizuri kutuza wote
waliovuka viwango vya binadamu wengine. Kwa kuwa katika kuvuka viwango wako
wale ambao wamevuka viwango vya ubora
wa aina mbalimbali wamepewa tuzo, mimi naanzisha tuzo la wale waliweza kuwa
upande wa pili wa viwango. Umefika wakati kutoa tuzo zifuatazo na niko siriaz
natafuta sponsors;
1.
Wimbo mbaya wa mwaka
2.
Filamu mbaya ya mwaka
3.
Msanii mbaya wa mwaka
4.
Msanii muongo wa mwaka
5.
Ukumbi mchafu wa mwaka
6.
Mwanasiasa fix wa mwaka
7.
Gazeti fix la mwaka
8.
Radio fix ya mwaka
9.
Kampuni fix ya mwaka
10. Ofisi
fix ya mwaka
11. Mchungaji
fix wa mwaka
12. Mji
fix wa mwaka
13. Mpango
fix wa mwaka
14. Uongo
wa mwaka
15. Mji mchafu wa mwaka
16. Mtaa mchafu wa mwaka...................... utafiti unaendelea kwa tuzo nyingine

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE