tika
vyombo vyetu vya habari, sasa tungetaka kutoa nafasi kwa wale waliopata
nafasi ya kufeli ili nao tuone umahiri wao uliosababisha wakaweza
kufeli. Kazi hii ambayo haitakuwa na mshahara ili tuwe tofauti zaidi na
hawa waliopasi inaanza mara moja,kazi kwako ni kuni inbox maombi ya kazi
unashauriwa usitaje jina lako la ukweli ohhooo, stori nyingine ukileta
zinaweza kusababisha ukong'otwe mtaani kwenu au ulogwe na wasanii au
Wakurugenzi wa mashirika unayotaka kuwaumbua. Haya kazi kwenu vilaza.
Kama Mama K anavyosemaga Equal Opportunity For All, hapo najua mmetoka
kapa tafsiri yake ni hata mafala wapewe chansi
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE