Jamaa alikuwa kwenye Hummer na mbebs wa
ukweli, ambaye wakati huo alikuwa akilamba ice-cream huku kiyoyozi
kinampuliza, gari liko kwenye silence;
MJAMAA: Bebi kuna kitu nataka kukwambia lakini najua utaniacha
MBEBS: Sema tu swity
MJAMAA: Usikasirike lakini mpenzi
MBEBS: We sema tu hanii
MJAMAA: Nimekuficha muda mrefu lakini, kiukweli mi nina wake wawili
MBEBS:Hahahahahahahaha hilo tu swity nilidhani unataka kusema gari hili sio lako
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE