Maandamano makubwa yanaendelea katika sehemu mbalimbali dunia ikiwemo Albania na Misri, na sehemu nyingine za Iringa vijijini, Dar es Salaam vijijini, na hata New York vijijini, maelfu ya watu wanadai kuwa blog hii ifungwe kwa sababu ni mzigo. Blog hii haionyesho picha za wadada hawana nguo wala watu waliokufa, sasa inatafuta nini? Mmisri mmoja alitamka maneno haya kwa nguvu mbele ya Kofi Yanani alisema hivi tunamnukuu,''
هذا بلوق هو الحمل الثقيل
![]() | ||
| Blogu mzigoooooo |

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE