Mdada
mmoja mrembo sana, mwenye watoto wawili alikuwa kapewa talaka na mumewe akahamia nyumba
aliyokuwa kapanga jamaa yangu DEVI. DEVI alipomuona mpangaji mpya roho yote
ikamtoka. Akajitahidi kila njia kuonyesha kuwa yupo na ni bachela,
mdada akawa anaendelea na shughuli zake bila hata kuonyesha dalili za
kumwona DEVI. Jioni moja DEVI akiwa kapumzika akasikia hodi kwenye
chumba chake, alipofungua akakutana uso kwa uso na mdada mpangaji,
kapendeza sana na akiwa kavaa kimini cha nguvu;
MDADA: Samahani kaka Devi, yaani nimekaa muda mrefu mpweke nimeona leo lazima nitoke nikajirushe kidogo kisha nipate bwana niondoe uchovu. Vipi we uko free?
DEVI: Mimi sana tu niko free sina kitu chochote ninachofanya jioni hii, yaani niko free kabisa si unaona mwenyewe niko free sina ishu kabisaaa
MDADA: Loh nakushukuru sana kaka yangu, basi ngoja nikuletee watoto wangu ushinde nao mpaka ntakaporudi

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE