Jamaa alikuwa kwenye kibajaji mitaa ya Sinza kwa Wajanja, akapita nje ya bar moja yenye guesthouse, si akamuona mkewe akipotelea ndani ya hiyo gest, akapaniki.
JAMAA: Dreva simama. Unataka laki tatu ya chapchap? DEREVA: Bila shaka mzee JAMAA: nimemuona mke wangu kavaa ushungi wa njano kaingia kwenye ile gest, picha yake hii, ingia mtoe tena umlete hapa ukiwa unamtandika vibao.......dereva akatoka na baada ya dakika chache akatoka anamburula mwanamke na makonde juu, JAMAA: Mbona umekosea, huyo siyo mke wangu umeshaharibu mambo DREVA: Najua, huyu ni mke wangu, nae nimemkuta huko ndani, sasa ndio naenda kumtoa mkeo

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE