Kipofu kampiga mtu mpaka kamuua, akafikishwa mahakamani;
HAKIMU: Kwanini umefanya ukatili namna hii?
KIPOFU: Mheshimiwa marehemu alisema mwenyewe,'We kipofu ukinipiga utaona', kwa vile nilikuwa na hamu kubwa ya kuweza kuona, nikajitahidi kumpiga sana Ili niweze kuona, bahati mbaya kafariki na mimi bado sijaona.

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE