Juha kataka kuoa kabinti fulani mtaani kwake, ile kujieleza akaambiwa mahari milioni tano. Akaja juu kwa mshangao
'Hee kwa ajili gani hiyo milioni tano? Hapo jirani nimeambiwa kuna binti yuko tayari kuolewa kwa shilingi alfu hamsini, halafu
binti mwenyewe ana mimba kabisa tayari acheni utapeli shenzy nyie'
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE