ABOUDONA kafungua gazeti kakuta tangazo kuwa amekufa, akampigia simu rafiki yake mpenzi Luwi,
ABOUDONA: Aisee umesoma gazeti la leo? Wanasema eti nimekufa jana huko Iringa, aise inasikitisha.
LUWI: Ndio nimesoma pole sana bwana, kwa hiyo hii simu unanipigia uko wapi saa hizi? Uliondoka na ile simu yako ya Samsung?
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE