Katika somo la Jiografia mwalimu akauliza;
MWALIMU: Katika nchi yetu ya Tanzania, sukari inapatikana wapi Juma?
JUMA:Sijui
MWALIMU: Lazima unajua, wewe si unatumia sukari kila siku. Haya jibu upesi kabla sijakulamba viboko, sukari inapatikana wapi?
JUMA: Dukani kwa Mchaga
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE