Sungura na Simba
waliingia hotelini. Weita akaja kuwasikiliza,
SUNGURA: Nipe majani
kidogo na karoti nyingi pembeni
WEITA: Vipi rafiki
yako?
SUNGURA: Huyu hali kitu
WEITA: Vipi hana njaa?
SUNGURA: We fala nini,
angekuwa ana njaa mi siningekuwa marehemu tayari
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE