Utacheka sana ujue
kiswahili jokes blog
15 March 2017
BABA RUDI NYUMBANI UPESI
DOGO
:
(Kampigia simu baba yake)
Baba rudi nyumbani upesi
BABA
: Dogo niko bizi nina mkutano na JPM baada ya robo saa
DOGO:
Haya shauri yako mama anasoma mesej zako za whatsapp kwenye simu yako
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE