Waalimu
wa hesabu enzi za shule ya msingi walikuwa na maswali mengine ya ajabu ajabu,
hebu fikiria swali kama hili unalikuta kwenye mtihani;
John
ana miaka 10 pungufu ya baba yake. Mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya
John. Tafuta umri wa
a) John
b) Baba
c) Mama
Swali
kama hili nilikuwa naruka. Mimi sio mbeya wa kufwatilia familia za watu
wengine.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE