1 June 2017

NINA MIMBA YAKO MPENZI

Jamaa alikuwa kapata mchepuko mpya basi akaamua kumtimua mkewe kwa talaka ya nguvu na kashfa nyingi sana. Bibie akaondoka na kurudi kwa wazazi wake, bahati mbaya wiki mbili baada ya matukio haya baba yake akafariki. Na kwenye urithi marehemu akamuachia binti yake nyumba kadhaa na fedha taslimu milioni mia mbili. Jamaa yetu alipopata taarifa ya utajiri wa ghafla wa mtalaka wake haraka akampigia simu, 'Mpenzi unajua umeondoka na huku nimegundua nina mimba yako ya miezi miwili'

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE