Mzee
karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,
DOGO:
Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenu
BABA:
Hakuna kitu kama hicho
DOGO:
Kweli baba kuna jini liko kwenye kabati lenu la nguo....Mzee kaingia ndani
kamkuta mkewe kalala kitandani kajifunika shuka gubigubi hadi kichwani. Kaenda
kwenye kabati kufungua mlango , akamkuta rafiki yake wa miaka mingi yuko uchi
ndani ya kabati
BABA:
Aise unajua we fala sana, we rafiki yangu miaka yote hiyo halafu unamtisha
mwanangu eti wewe jini, hebu toka huko nenda kwenu kacheze michezo hiyo na
mwanao.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE