Watoto wa darasa la kwanza walirudi shule baada ya likizo,
MWALIMU: Haya watoto mlikuwa mnasoma wakati wa likizo?
WATOTO: Yes madaaaaaaaaaaam
MWALIMU: Frank Ulijifunza nini?
FRANK: Baba alinifundisha kuhesabu
MWALIMU: Safi sana haya hebu hesabu tuone
FRANK: Moja, mbili, tatu, nne, tano, sita,jike, mzungu wa pili, mzungu watatu, Mzungu wa nne, Dume.

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE