Utacheka sana ujue
kiswahili jokes blog
9 July 2012
Nakemea pepo wakutoke
MCHUNGAJI
: Nakemea pepo la wizi likutoke
MUUMINI
: Amen
MCHUNGAJI
: Nakemea pepo la uwongo likutoke
MUUMINI
: Amen
MCHUNGAJI
: Nakemea pepo la uasherati likutoke
MUUMINI
: Ngoja kidogo mzee, hilo utalikemea kesho
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE