Angalia kushoto, halafu angalia kulia, halafu angalia kushoto tena, halafu kulia halafu kushoto, sali sala zako za mwisho, kisha anza kuvuka taratibu maana hujui bodaboda au kibajaji kitaibukia wapi, na kama unataka kuvuka barabara ya kipekee ya njia tatu inayoanzia Bamaga hadi Moroko, funga macho muombe Mungu akutumie malaika wakuvushe timka, .
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE