Mtoto moja alikuwa anaishi kwenye nyumba iliyokuwa na muembe nje, kila siku alipenda kuupanda na kila siku mama yake alikuwa anamchapa akijua tu kuwa alipanda kwenye mti. Siku hiyo alipanda akaanguka, bahati nzuri hakuumia sana. Akamwambia rafiki yake, 'Ningekufa, mama angenipiga mpaka aniue'.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE