Gari mbili ziligongana,
dreva mmoja bonge bonge hivi wa gari moja akatoka haraka kwenye gari lake na kumtoa jamaa kwenye gari
la pili nakuanza kumpa kisago cha nguvu, alipoona ametosheka akaanza kumuuliza;
BONGE BONGE: Kwanini unaendesha gari kizembe?
ALIYENYUKWA: Unanionea bure, usukani wa hili gari uko
kushoto’
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE