5 July 2012

Robot limepona

Mke kasikia mumewe ambaye alikuwa safari akigonga mlango wa nyumba yao afunguliwe, naye alikuwa na bwana na walikuwa ghorofa ya kumi na nne, akamwambia bwana  waliekuwa nae aise mume wangu karudi, hebu simama jifanye robot, niachie mie nizungumze;
MKE: Karibu mume wangu. Mume akaingia akakuta mtu yuko uchi kasimama;
MUME: Huyu nani?
MKE: Hilo robot nilinunua linanisaidia kujiliwaza wakati wewe haupo.
MUME: Okay poa, sasa mwenyewe nimerudi nipe halali yangu
MKE:Samahani mume wangu, niko siku mbaya pole kwa leo. Ngoja nikutengenezee chai...wakati mke yuko jikoni anatengeneza chai;
MUME: Dah mke wangu hawezi na mimi nataka, ngoja nilishughulikie hili robot la mke wangu...... jamaa mgoni kusikia vile akajua hatari inakuja, akaanza kuongea kwa sauti ya kirobot;
ROBOT: Robot bovu halifai, robot bovu halifai
MUME: Duh hata robot bovu, sasa silinajaza tu nafasi humu? kama bovu ngoja nilitupe nje....Jamaa Robot akajua kifo kinakuja, gorofa ya kumi na nne ni juu sana akaona ajisevu;
ROBOT: Robot limepona, robot limepona halina matatizo, halina matatizo

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE