SHAROBARO:(Mwenye upeo mdogo wa Kiingereza lakini hakubali hilo) Dokta, how are you mshkaji?
DOKTA: I am okay
SHAROBARO: Dok unajua I am supasta men, so Can you help me?
DOKTA: Hakuna tabu supasta.Unatakaje
SHAROBARO: Nataka kufanyiwa ile operesheni ya Kastreshen
DOKTA: Du kwanini tena? Huoni utateseka?
SHAROBARO:Unajua madem wananidistab men, so nataka nichenj, nitateseka kwa muda halafu ntainjoy life my men.
DOKTA: Ok haya japo sikuelewi
SHAROBARO: We fanya men....Siku mbili baadae Sharo akiwa kitandani anauguza kidonda, akatembelewa na rafiki yake.
RAFIKI: Pole bwana wameshakusakumsaiz?
SHAROBARO: Wamenifanya nini?Si ulinambia niwambie wanikastreti
RAFIKI: Nilikwambia SAKUMSAIZ, siyo KASTRETI????
Duh mshkaji umekwisha

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE