4 October 2012

DOKTA AWA KIGUGUMIZI

Jamaa alikuwa na bonge ya kigugumizi akajaribu kila dawa apone ikashindikana hatimae akaelekezwa kwa daktari maarufu;
KIGUGUMZ: Do do do dokta na na na naooomba uni uni unito to to toe kigugugugugumizi. Dokta akamfanyia vipimo hatimae akagundua;
DOKTA: Tatizo lako ni kuwa umejaaliwa na mzigo mkubwa kwenye suruali yako, sasa uzito wa mzigo unavuta mapafu chini halafu unakuwa na kigugumizi, ukiruhusu tupunguze utapona.....kwa jinsi alivyokuwa akisumbuka akakubali matibabu. Akafanyiwa operesheni, na akapona kabisa. Baada ya miezi sita akagundua kuwa mabibi zake wote hawamtaki wanamwambia hafai akaona heri arudishiwe mzigo wake abaki na kigugumizi. Akamrudia dokta wake;
KIGUGMZ: Aise dokta naona heri unirudishie ile hali ya zamani, bora niwe kigugumizi
DOKTA: Hi hi hi hilo, li li li takuwa gu gu gu gumu sa sa sa sa saanaa sa sa sa mamamaha hani

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE