USHAURI MUHIMU KWA WANAUME WA BONGO;
UKIWA na bebi wako halafu akaguna ghafla na kusema neno 'Yaaani'. Chonde chonde usikosee ukauliza ' Vipi baby?'. Huo ni mtego wa pesa. Hapo jibu lake ni matatizo lukuki ambayo ukishayajua utakuwa umekwisha ingia kwenye mtego wa kuyalipa. Hivyo ukimsikia bebi wako ghafla, kasema ' Mhhh yaani', we jifanye hujasikia endelea na shughuli zako au mpe busu jingine la haraka haraka kabla hajasema neno jingine
By Muathirika
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE