4 October 2012

UTALIWA TU DENDA SUBIRI

Trafiki wa kike alikuwa bizi anaongoza magari, chizi akamuendea;
CHIZI: Oyaa polisi saa ngapi saa hizi?
TRAFIKI: Hebu ondoka huoni niko bizi
CHIZI: Siondoki mpaka unambie saa hizi saa ngapi
TRAFIKI( Kwa hasira); Saa nane na nusu
CHIZI: Poa ikifika saa tisa njoo nikule denda la nguvu
TRAFIKI: Unaleta utani na chombo cha dola?... akaanza kumfukuza  na chizi kakimbilia kwenye nyumba jirani. Trafiki akamkuta mzee mmoja nje ya ile nyumba;
TRAFIKI: Kuna chizi mmoja kaingia humu ndani umemuona namtaka
MZEE: Ndio nimemuona, kafanya nini tena? Ni mtoto wa mpangaji wangu
TRAFIKI: Kanambia eti ikifika saa tisa atanila denda
MZEE: Haraka ya nini? Mbona muda bado saa hizi saa tisa kasoro dakika ishirini

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE